GET /api/v0.1/hansard/entries/1538486/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1538486,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1538486/?format=api",
    "text_counter": 270,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
    "speaker": null,
    "content": "Mgao huu pia ndio unasimamia kuangalia miradi katika Mabunge yetu na maeneo yetu ya Mabunge. Hivi sasa, kuna mabadiliko mengi yamefanyika katika Mabunge yetu; na pia, tunaendelea kuona mengi yakifanyika."
}