GET /api/v0.1/hansard/entries/1545296/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1545296,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545296/?format=api",
"text_counter": 81,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante Bw. Spika. Leo, Waziri anajibu maswali vizuri. Swali langu ni kutokana na maelezo ya Sen. Kathuri. Naomba uniruhusu niulize maswali kuhusu dams za Embu. Hizi dams hazikuwa kwenye supplementary budget . Embu County kuna dam inaitwa Thambana Dam, kama Waziri atajenga hii dam vizuri itasaidia wakaazi wa Manyatta na Mbeere South. Pia Kamumu Dam ikijengwa itasaidia Mbeere North. Kuna Thuci Dam ambayo ikijengwa itasaidia Runyenjes Sub County na Tharaka Nithi County. Bw. Waziri, kuna maji iliyotengenezwa kutoka Betty South---"
}