GET /api/v0.1/hansard/entries/1545409/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1545409,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545409/?format=api",
"text_counter": 194,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Nashukuru kwa ripoti zilizoletwa, lakini ni kazi bure ikiwa tutafanya mikutano hii ilhali uhusiano wa biashara hauonekani kwa Wakenya ama wananchi wa nchi husika. Majukumu makubwa ya miungano yoyote inayofanywa ni kuleta manufaa kwa wananchi wa nchi husika. Hii ni kwa sababu wale waliotuchagua na kutuweka katika nyadhifa hizi wamefanya hivyo ili tuinue hali yao ya maisha. Nashukuru kwa sababu mikutano mingi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}