GET /api/v0.1/hansard/entries/1545410/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1545410,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545410/?format=api",
    "text_counter": 195,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "inayofanywa inaleta mahusiano mazuri. Vilevile inafanya nchi husika kuondoa vikwazo vya kibiashara na uhusiano. Nashukuru vile Naibu Spika wetu amesema kwamba katika mikutano aliyohusika walichagua viongozi wa nchi zingine. Huu uhusiano usionekane tu katika biashara, bali hata wakati wa shida. Ikiwa nchi jirani wana shida ama majanga, wanaweza kupata mahali ambapo pana usalama na hali nzuri. Sitaki kuongea mengi kwa sababu jambo kama hili litasaidia sana wahusika. Kwa mfano, tukitengeneza reli kutoka Mombasa, ipitie Naivasha na iende hadi Kisumu mpaka nchi jirani, itasaidia Wakenya. Kwa hivyo, ni vizuri mikutano na uhusiano huu unaoendelea uwe unawahusisha wananchi wa nchi husika. Nashukuru sana, Bw. Spika wa Muda."
}