GET /api/v0.1/hansard/entries/1545742/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1545742,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545742/?format=api",
    "text_counter": 47,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Ningetaka kwanza kushukuru Kamati ya Fedha na Bajeti kwa kazi nzuri waliofanya. Ningependa kusema ya kwamba adui mkubwa wa ugatuzi ni wale walio katika Bunge la Kitaifa. Mswahili husema ya kwamba ukibebacho ukivuja, nafuu kwa mchukuzi. Uongozi wa Bunge la Kitaifa unafaa kumakinika na kuhakikisha ya kwamba hakuna vuta nikuvute tunapopitisha Mswada. Hii ni kwa sababu sisi ndio walinzi wa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}