GET /api/v0.1/hansard/entries/1545783/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1545783,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545783/?format=api",
    "text_counter": 88,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Ningependa kuangazia CAIPs ambazo zinajengwa ili kuongeza dhamana ya bidhaa zetu. Sijafahamu ujuzi ambao kamati hii ilitumia kuchagua gatuzi ambazo zitapewa hela hizi. Kumbuka kule kwetu Laikipia eneo la Rumuruti, aliyekuwa Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Moses Kuria alikuja na kufungua sehemu ile na zaidi ya The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}