GET /api/v0.1/hansard/entries/1545785/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1545785,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545785/?format=api",
"text_counter": 90,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Serikali kuu iliahidi kutoa shillingi millioni 250 kwa kila gatuzi. Naangalia Mswada huu na naona kuna gatuzi 19 ambazo zimepewa pesa hizi. Sen. (Dr.) Khalwale, amesema tuwe na subira kwa sababu hata kaunti yake haijapewa zile hela, tutaangaliwa kwenye ule Mswada mwingine."
}