GET /api/v0.1/hansard/entries/1545786/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1545786,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545786/?format=api",
    "text_counter": 91,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Swali la muhimu ni hili. Sehemu hizi zimetengwa, tumejua ni bidhaa zipi ambazo tutakuwa tunaongeza dhamana? Tunaweza kujenga, Serikali kuu ilete pesa lakini sehemu hizi zibaki kuwa mahame. Tumeona mambo mengi kama nyumba kujengwa lakini zinabaki kuwa mahame."
}