GET /api/v0.1/hansard/entries/1545944/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1545944,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545944/?format=api",
"text_counter": 47,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Katika ajira, kaunti nyingi zimeajiri kupita viwango zaidi kinyume na sheria na kanuni zilizowekwa za asilimia 35 ya fedha za kaunti zitumike kulipa wafanyikazi. Mwenyeti amesema ya kwamba kuna kaunti nyingi ambazo zimeajiri wafanyikazi wanaotumia fedha zaidi ya asilimia 35. Wakati tunatumia fedha zaidi ya asilimia 35 kwa mfano katika Kaunti ya Taita Taveta iliyoko katika 54, pesa hubakia kidogo ya kufanya maendeleo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}