GET /api/v0.1/hansard/entries/1545945/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1545945,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545945/?format=api",
    "text_counter": 48,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Tunahimiza na kusukuma kaunti kuhakikisha ya kwamba zinafuata kanuni ili fedha zinazotumika kulipa wafanyikazi iwe ni asilimia 35 ama chini yake. Kaunti nyingi zinalipa mishahara za wafanyikazi kupitia nje ya mfumo wa Integrated Personnel and Payroll Database (IPPD) ambao unatumika kulipa wafanyikazi wote wa Serikali. Gatuzi zinapolipa bila kutumia mfumo huu, pesa nyingi sana zinaweza kupotea. Katika kamati yetu, tunafuatilia kwa ukaribu sana ili kuhakikisha kaunti zote zinalipa kupitia kwa IPPD."
}