GET /api/v0.1/hansard/entries/1545946/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1545946,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545946/?format=api",
"text_counter": 49,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Kuna uchunguzi na mapendekezo mengi tuliyofanya katika hii ripoti lakini tulikuwa na muda mchache sana kama vile Bw. Mwenyekiti alivyosema. Ninashukuru wafanyikazi wa Seneti kwa kujitoa mhanga, kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha ya kwamba hii ripoti ya zaidi kurasa 2,000 imeletwa leo bila kupitisha ule muda uliowekwa katika katika Kifungu cha 229."
}