GET /api/v0.1/hansard/entries/1545947/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1545947,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545947/?format=api",
"text_counter": 50,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Katika uchunguzi wetu, tumeona ya kwamba kaunti nyingi zinatumia pesa lakini stakabadhi za kuonyesha kwamba zile fedha zimetumika kwa mujibu wa sheria haziko. Kwa mfano, mwanakandarasi amepewa sabuni ya kuleta stakabadhi za kulipwa kama vile invoices lakini amelipwa bila kuwepo kwa zile stakabadhi. Tuko na mapendekezo ya kufuatilia na ndio sababu Bw. Mwenyekiti akasema muda ulikuwa mchache. Kwa hivyo, lazima kuwe na muda zaidi wa kufuatilia ile miradi iliyofanywa katika gatuzi ili kuhakikisha hiyo miradi imefanyika na kwamba wananchi wanapata thamani ya pesa kwa lugha ya kimombo, value for money."
}