GET /api/v0.1/hansard/entries/1545948/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1545948,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545948/?format=api",
"text_counter": 51,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Tumejiuliza kama kamati itakuwaje mmelipa pesa lakini wakati Mhasibu Mkuu wa pesa ya umma anapokuja kwa kaunti kukagua, hizo nakala zimepotea. Kuna gatuzi nyingi kama vile Bw. Mwenyekiti alivyosema ambazo hazina kamati za ukaguzi ama audit committees. Ukaguzi wa kwanza ni jukumu la kamati za uhasibu za kaunti tunazoziita internal audit. Zinafanya ukaguzi na yule Mhasibu Mkuu anapokuja kukagua, anategemea sana ile ripoti ya kamati ya uhasibu ya kaunti. Lakini kaunti nyingi zimekataa kuwa na hizo kamati kwa sababu kuna mambo wanayoficha huko ndani."
}