GET /api/v0.1/hansard/entries/1545949/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1545949,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545949/?format=api",
"text_counter": 52,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "Sitaki kuongea sana kwa sababu mimi naunga tu mkono hii Hoja. Lakini Mwenyekiti ameongea kuhusu suala la madeni au malimbikizi ya madeni ya kaunti ama pending bills ambazo zimelemaza maendeleo katika kaunti. Yale madeni yanatakikana kulipwa na tukisoma hii ripoti imependekeza ya kwamba taasisi za uchunguzi kama vile DCI na EACC wafanye uchunguzi ili kuona kama yale madeni yalilimbikizwa kihalali. Na kama kuna yale ya kikora, basi hao washukiwa wachukuliwe hatua."
}