GET /api/v0.1/hansard/entries/1545950/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1545950,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545950/?format=api",
    "text_counter": 53,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Kwa sababu Maseneta wanaotaka kuongea ni wengi, sisi kwa ufupi kabisa tunaiomba hii Seneti itupatie fursa tutembelee gatuzi zetu, tuone ile miradi inayosemekana imefanywa, kama imefanywa sawa sawa na kama kuna thamani ya pesa kutokana na pesa ambazo zinatoka kwa ushuru wa mwananchi."
}