GET /api/v0.1/hansard/entries/1545951/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1545951,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545951/?format=api",
    "text_counter": 54,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Serikali haina pesa. Pesa zozote zinazoenda kwa gatuzi zetu zinatokana na ushuru wa mwananchi. Kwa hivyo, sisi wote kama wananchi wa Kenya lazima tufungue macho ili tukiona pesa zinatumika vibaya tuweze kuripoti kwa asasi za uchunguzi. Lazima tuumwe na zile pesa zinazoenda kwa gatuzi zetu."
}