GET /api/v0.1/hansard/entries/1545955/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1545955,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545955/?format=api",
    "text_counter": 58,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Lakini leo pesa nyingi zinafika mashinani kwa sababu ya mfumo wa ugatuzi. Magavana, Members of the County Assembly (MCAs) pamoja na wananchi wanachagua miradi yao wenyewe na wanaisimamia inapofanyika katika gatuzi zetu. Kwa hivyo, kulingana na Kifungu cha 99 cha Katiba, sisi kama Maseneta tutasimama kidete kuhakikisha ya kwamba zile pesa ambazo zinatakikana kwenda kwa magatuzi, zimeenda. Tutafuatilia kuona ya kwamba zimetumika ili mwananchi aliye mashinani apate huduma bora."
}