GET /api/v0.1/hansard/entries/1545997/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1545997,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1545997/?format=api",
    "text_counter": 100,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante sana, Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ili niweze kuchangia Ripoti hii ya Kamati ya CPAC. Wamefanya kazi nzuri. Ningeomba serikali gatuzi ambazo zilikuwa na matatizo zifuatiliwe ili ijulikane pesa zilipotea vipi. Kuna kaunti ambayo imepoteza Shilingi 400 milioni. Ifuatiliwe, kuwe na risiti hata kama ofisi hizo zilichomeka. Asubuhi tulikuwa tunafuatilia vile serikali gatuzi zitapatiwa pesa. Naunga Kamati inayohusika na fedha kwa sababu niliona kaunti yangu ya Embu itapokea Shilingi 363 milioni. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}