GET /api/v0.1/hansard/entries/1546271/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1546271,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1546271/?format=api",
    "text_counter": 40,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Emgwen, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Josses Lelmengit",
    "speaker": null,
    "content": "Jambo lingine ni kwamba swala hili la uporaji wa ardhi sio tu la Kilifi lakini pia maeneno ya Tabolwa, Kapkangani, Koiben na Ngerek, Kaunti ya Nandi. Petitions zimeletwa hapa lakini inachukua muda kupata suluhisho. Ni ombi langu kwa Kamati ya Public Petitions na wizara husika kutatua kesi hizi kwa haraka ili watu wapate haki, mashamba yao na titledeeds. Wengine wanahitaji title deeds hizi kufanya biashara. Pia amani ni muhimu wanapoishi katika mashamba yao. Hii ni haki yao kama Wakenya wengine."
}