GET /api/v0.1/hansard/entries/1546366/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1546366,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1546366/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Pia, katika Ukumbi wa Umma, tuko na wanafunzi kutoka Town View Primary, Ol Jorok, Nyandarua County. Karibuni katika Bunge kufuatilia mambo yanayoendelea hapa. Ningependa kumuita Mbunge wa Marsabit County, Mhe. Naomi Waqo, aweze kuwakaribisha na pia achangie Hoja hii."
}