GET /api/v0.1/hansard/entries/1546459/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1546459,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1546459/?format=api",
"text_counter": 228,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Ahsante, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii ya kuzungumzia Hoja hii ya kutengeneza mbolea hapa nchini kwetu. Ninataka kumpongeza Mhe. Atandi kwa kuleta Hoja hii. Hoja hii itawasaidia wakulima kuhakikikisha kuwa mbolea inapatikana kwa wingi na kwa urahisi. Mazao pia yatapatikana kwa wingi ikiwa mbolea itatengenezwa hapa Kenya. Vijana wetu watapata kazi kwa sababu kampuni hizo au viwanda hivyo vikiwa hapa, vitaajiri watu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}