GET /api/v0.1/hansard/entries/1546460/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1546460,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1546460/?format=api",
"text_counter": 229,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Tuseme ukweli. Tusiwe wezi wa fadhila. Kitu kizuri kikifanywa, tuseme kimefanywa vizuri au kiboreshwe. Tusikatae kusema kuwa mtu amefanya jambo nzuri kwa sababu ya siasa. Rais wetu na Naibu wake wamejaribu. Ruzuku ama subsidy inayowekwa kwenye mbolea ili isiwe ghali haikuanza na Rais huyu wala Serikali hii. Ilianza na Serikali iliyopita. Hawa nao wamejaribu kuhakikisha kuwa mbolea inapatikana kwa bei nzuri lakini kuna haja ya kuzidisha bidii ili mbolea ipatikane kwa urahisi zaidi."
}