GET /api/v0.1/hansard/entries/1547382/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1547382,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1547382/?format=api",
    "text_counter": 915,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Mhe. Kassim Tandaza",
    "speaker": null,
    "content": "kupigana, kuuana na kuwanyang’anya ngombe. Hili ni jambo la aibu. Ninawaomba, katika hekima yao, wajue kwamba hawatendei jamii yao haki. Na kama wanaona ni haki, wapeleke watoto wao wafanye mambo kama hayo."
}