GET /api/v0.1/hansard/entries/1547383/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1547383,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1547383/?format=api",
"text_counter": 916,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Mhe. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spika wa Muda, ninashukuru kwa muda ulionipa kuchangia Hoja hii ambayo inaniumiza moyo haswa, ninikumbuka nimewahi fanya kazi katika sehemu hizi na kuona kwa macho jinsi watu wanauana kinyama bila sababu."
}