GET /api/v0.1/hansard/entries/1547911/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1547911,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1547911/?format=api",
"text_counter": 83,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Langu ni kumpa pongezi the Prime Cabinet Secretary na Serikali kwa kuwezesha kuachiliwa uhuru kwa Steve kule Saudi Arabia. Wiki iliyopita kulikuwa na habari ya kwamba Steve alikuwa amehukumiwa kifo na Serikali ya Saudi Arabia. Alipata fadhili kupitia kwa shirika la kiislamu. Wakamlipia ridhaa ya shilingi milioni 124. Ningependa kuipongeza Serikali kwa kushukghulia mambo yake na vile vile kusimama na familia yake. Hakika atakaporudi nchini Kenya, itakuwa ni fursa nzuri kupewa makaribisho kwa sababu alikuwa amedhulumiwa katika kesi yake. Vile vile, alikuwa amehukumiwa kifo kwa makosa yasiyokuwa yake. Hakuua kwa kusudia ilikuwa kwa kujitetea. Mtu alikuwa amempiga na yeye alipojitetea, huyo mtu akaumia na baadaye akafariki. Jambo la kufurahisha ni kuwa, akiwa gerezani kule Saudi Arabia---"
}