GET /api/v0.1/hansard/entries/1547915/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1547915,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1547915/?format=api",
"text_counter": 87,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Swali langu ni kuwa, kuna wengi kama Steve ambao wako Saudi Arabia, ambao wameshindwa kurudi nyumbani. Wengine wana watoto na kwa vile Saudi Arabia hairuhisi zinaa, wale watoto wamepatikana hawana uraia kwa sababu wako kule na Wakenya hawawajui. Pia hapa hawajapata vyeti vya kuzaliwa ama vyeti vya kusafiri. Ni jambo gani Bw. Waziri anafanya kuhakikisha wale watoto ambao wana watoto na familia kule, wanaweza kupewa vyeti vya kusafiri na kuwawezesha kurudi nchini salama. Asante, Bw. Spika."
}