GET /api/v0.1/hansard/entries/1548029/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1548029,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1548029/?format=api",
"text_counter": 201,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Bw. Waziri, sijui unafahamu kwamba kina Cheskaki na Cheptai’s wa Bungoma mwaka huu wamepata shilling 51 tu kwa kilo ya kahawa. Nimekusikia ukisema ya kwamba wakulima sasa hivi wanalipwa shilingi 100 na zaidi. Kahawa ya watu wa Bungoma imeuzwa kwa shilingi 100 tu kwa kilo moja, Bw. Waziri. Kwa hiyo, siyo ukweli. Kuna wakulima hawajanufaika na jitihada mnazofanya kama Serikali ama Wizara kupata bei nzuri ya kahawa."
}