GET /api/v0.1/hansard/entries/1549089/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1549089,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1549089/?format=api",
    "text_counter": 1015,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Maombi ya Kauli kutoka kwa Sen. Omogeni. Mhe. Spika wa Muda, ni masikitiko kuwa Kaunti ya Nyamira inaongoza kwa safari ya kuregesha ugatuzi nyuma. Haiwezekani kuwepo kwa mabunge mawili ya Kaunti ya Nyamira."
}