GET /api/v0.1/hansard/entries/1549129/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1549129,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1549129/?format=api",
    "text_counter": 1055,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Ninasema hivi; tafadhali gavana afanye heshima na watu wa Nyamira ili aweze kuleta mwelekeo vile county assembly itaendelea. Hatuwezi kukubali kuwa na Spika wawili, clerks wawili na hata kila mahali watu wawili wawili. Je, hao watu wanalipwa aje? Ninakubaliana na Kiongozi wa Walio Wengi, Sen. Cheruiyot, akisema kwamba makosa haya yanaletwa na mtu mmoja ambaye yuko na interest hapo, ambaye anapaswa kutuambia. Huyo mtu ambaye ni Controller of Budget, ikiwezekana, pia yeye tumuite aje katika Seneti ili tumhoji. Asante."
}