GET /api/v0.1/hansard/entries/1549383/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1549383,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1549383/?format=api",
    "text_counter": 99,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Haya mapendekezo yakipelekwa katika kamati kunapaswa kuletwe mapendekezo yatakayosema hata machifu wanapaswa warejeshewe wale maafisa wao. Kama sio hivyo, machifu wapewe bunduki kwa sababu wanatumika vizuri. Sio tu kwa mambo ya usalama. Hata nakumbuka tulipokuwa wanafunzi tukiwa pale chuoni, kila wakati ukitaka kujaza bursary, chifu angeulizwa kwa sababu anajua kila mwanafunzi na kila mzazi katika sehemu yake. Angeweza kueleza kwa ufasaha ni nani huyu, je kwao ni maskini ili ajulikane vizuri."
}