GET /api/v0.1/hansard/entries/1549387/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1549387,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1549387/?format=api",
"text_counter": 103,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13733,
"legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
"slug": "agnes-kavindu-muthama"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii nichangie hii kauli iliyoletwa na Sen. Mwaruma. Kauli hii ni muhimu sana kwa sababu manaibu wa machifu na machifu ni watu muhimu sana kwa kila eneo. Utapata ya kwamba hata Serikali ikitaka kujua vile kijiji kinaendelea, wanapitia kwa manaibu wa machifu na machifu."
}