GET /api/v0.1/hansard/entries/1549388/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1549388,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1549388/?format=api",
    "text_counter": 104,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13733,
        "legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
        "slug": "agnes-kavindu-muthama"
    },
    "content": "Naunga mkono kauli hii. Hawa machifu wanapaswa kupewa ulinzi kwa sababu wanafichua njama za watu waovu wanaoweza kuwarudia na kuwaumiza. Hili lina hatarisha maisha yao wanapofichua njama za wahalifu kwenye vijiji."
}