GET /api/v0.1/hansard/entries/1549389/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1549389,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1549389/?format=api",
    "text_counter": 105,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13733,
        "legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
        "slug": "agnes-kavindu-muthama"
    },
    "content": "Pia, ningeomba Sen. Mwaruma na Kamati itakayokabidhiwa Taarifa hii waweze kuangalia hata wazee wa nyumba kumi ambao pia hufanya kazi nyingi sana. Machifu na manaibu wao hawawezi kufanya kazi vizuri bila wazee wa vijiji na viongozi wa nyumba kumi. Wao ndio hufichua kule pombe haramu huuzwa na wahalifu kijijini. Hata mtu aliye mgeni akiingia kwa kijiji, watu wa kwanza kumtambua huwa ni wazee wa kijiji, chifu na naibu wao."
}