GET /api/v0.1/hansard/entries/1549390/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1549390,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1549390/?format=api",
"text_counter": 106,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13733,
"legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
"slug": "agnes-kavindu-muthama"
},
"content": "Ni vizuiri pia wawe wanapandishwa vyeo kulingana na muda uliowekwa. Pia, Kamati inapoenda kuangalia Kauli hili, wahakikishe pia hawa wazee wanalipwa. Wazee hawa huamshwa usiku wa manane kwenda mahali kuna mgonjwa au uhalifu bila kuogopa ilhali hawapewi chochote na Serikali. Kwa hivyo, ni vizuri hata hao wazee wa nyumba kumi wawe wanalipwa ama wapewe pesa ya usafiri ili kwenda kule wanakohitajika."
}