GET /api/v0.1/hansard/entries/1549459/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1549459,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1549459/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Bw. Spika, kwanza nataka kuunga mkono hii Hoja ya kuongeza muda kwa ile jopo linalofanya interview kuchagua wale wenzetu ama watu ambao watakuwa makamishina. Jopo hili lina kazi nyingi sana kwa sababu lilikuwa limepewa muda kulingana na Katiba. Hata hivyo, ule muda unaonekana umeyoyoma sana na bado wale watu wanafanyiwa interview wanaendelea kuja. Muda ukifiki hawatakuwa wamekamilisha na ndiyo sababu wameomba muda, waongezewa siku 14. Sababu walizosema ni kuwa hawakutarajia kitendo kama hiki kitaweza kutendeka. Walitumaini watamaliza ili Wakenya wapate tume itakayosimamia mambo ya uchaguzi katika nchi yetu ya Kenya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}