GET /api/v0.1/hansard/entries/1550223/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1550223,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1550223/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Mhe. Spika. Mwanzo nakupongeza kwa kuwatambua wavuvi wa samaki. Ahsante. Wizara iko na mikakati gani ya kuwasaidia wavuvi kuboresha usalama wao? Wavuvi hawajazingatiwa inchini Kenya. Siku tatu zilizopita kule Lamu, boti ilipata shida mbele ya Mkokoni, na wavuvi wakapiga simu na kuomba wasaidiwe. Hawakusaidiwa, na ikabidi waogolee wenyewe wakafika. Chombo kilikuwa kimebeba mizigo mingi na mawimbi yakaja yakakizamisha. Ingekuwa rahisi wangefikiwa kwa haraka kwa maana si mbali na kambi nyingi za forces zilizoko katika eneo lile. Ni mikakati tuu haijapangwa. Tafadhali Waziri, hao wavuvi ni Wakenya, na wanachangia pakubwa uchumi wa nchi hii. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}