GET /api/v0.1/hansard/entries/1550810/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1550810,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1550810/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante bwana Spika. Kwa niaba yangu, familia yangu, na watu wangu wa Lamu Mashariki ninaowakilisha, natoa rambirambi zangu kwa familia ya Mhe. Teiyaa. Tulikuwa naye katika Bunga la Kumi na Mbili. Tulikuwa kwa kamati moja. Alikuwa mtu mzuri. Natoa pole kwa familia. Mungu aiwezeshe kujaza pengo aliloacha. Asante bwana Spika."
}