GET /api/v0.1/hansard/entries/1552932/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1552932,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1552932/?format=api",
"text_counter": 261,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw, Spika wa Muda. Kiwanja hiki cha ndege cha Isiolo kina wale mahandisi na maafisa husika ambao waliweza kutayarisha ripoti juu yake. Tukiangalia, kwanza, hawa wataalam waliweza kutayarisha ripoti yao na kusema kwamba hiki kiwanja kitakuwa tayari ikiwa kitatumia shilingi 1.5 bilioni. Bw. Waziri, ningependa kujua majina ya hawa mahandisi ambao waliweza kutengeneza kiwanja hiki cha ndege na wakaangalia na kusema watatumia shilingi 1.5 bilioni. Mahandisi waliyofanya kazi hii wawekwe wazi hapa pamoja na wahusika wowote waliokuwa na uwezo wa kutengeza kiwanja hicho. Swala langu la pili ni ikiwa hivi sasa imeonekana ya kwamba chini ya hii ardhi haiwezi kuchukua mzigo kama vile ndege ama vitu vizito, imepatika kuwa ardhi imelegea kichini, kisayansi ama kihandisi, iko very weak on the top, kule chini ndiko kumeharibika kabisa. Wale mahandisi ndiyo walifanya kandarasi hii na kufanya mapendekezo yao. Ni hatua gani, Serikali imechukua kuona ya kwamba wale mahandisi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}