GET /api/v0.1/hansard/entries/1552940/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1552940,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1552940/?format=api",
"text_counter": 269,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ndio Swali ni moja lakini, pole, ningetaka kuongezea. Ni hatua gani ambayo inaweza kuchukuliwa kuona ya kwamba athiri kama hii haitatokea na hawa mainjinia wanatakikana kumsaida Mhe. Rais ili aonekane akisema kitu kitafanyika, kifanyike. Hawa ndio wafisadi kwa sababu wanataka kurudi tena watengeneze pesa, ilhali, pesa ambayo ilikuwa allocated kwa airport hiyo ni zile ambazo walizitumia na sasa wamezweka mara mbili, kutoka shilingi 1.5 bilioni. Sasa wanasema ya kwamba wanaweza kumaliza kiwanja hicho ikiwa watatumia shilingi bilioni nne. Kwa hivyo, ni hatua gani ambayo Waziri amechukua kuona ya kwamba hawa wahandisi waliofanya hii kazi wamechukuliwa hatua?"
}