GET /api/v0.1/hansard/entries/1553278/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1553278,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1553278/?format=api",
"text_counter": 265,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa nafasi hii. Kwa heshima, nasimama kwa hoja ya nidhamu jinsi nilivyouliza. Sio vyema na haki Seneta mwenzangu, Sen. Gloria, kutoa hoja zisizoweza kudhibitishwa. Amesema kuwa Sen. Mandago huwa na mtafaruku na hawezi kuwa na msimamo katika masuala fulani katika Biunge hili. Hata hivyo, amekosa kufafanua wapi, vipi na lini. Seneta mtajika aliyekuwa Gavana wa Uasin Gishu hawezi kuelewa madai ama hoja ambazo haziwezi kudhibitishwa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}