GET /api/v0.1/hansard/entries/1553510/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1553510,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1553510/?format=api",
    "text_counter": 88,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Nominated, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Irene Mayaka",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika, naomba kutoa arifa ya Hoja ifuatayo: KWAMBA, Bunge la Taifa liridhie Ripoti ya Kamati ya Utangamano wa Kikanda kuhusu ziara ya ukaguzi kwa taasisi zisizo huru kikamilifu za Jumuia ya Afrika Mashariki na ushoroba wa kati katika Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, iliyowasilishwa kwenye Meza ya Bunge Jumanne, 9 Aprili 2025. Ahsante. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}