GET /api/v0.1/hansard/entries/1553697/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1553697,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1553697/?format=api",
"text_counter": 275,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Hoja yangu ya nidhamu inahusu mwelekeo tunaochukua. Imesemwa kuwa walimu waangaliwe kulingana na mwaka waliohitimu. Nitatoa mfano katika eneo langu la Bunge. Nahofia Waziri akiendelea na huo mtindo atamaliza jamii nyingine. Kwa mfano, katika jamii moja ya Wabajuni wa Lamu, watoto wote waliamua wawe waalimu na mmoja akahitimu mwaka jana na mwingine mwaka juzi. Mwaka jana, waalimu walioajiriwa walikuwa wachache. Ikisemekana kuwa mwaka huu watoto hao wasiajiriwe bali The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}