GET /api/v0.1/hansard/entries/1553698/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1553698,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1553698/?format=api",
"text_counter": 276,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "waajiri waalimu waliohitimu mbeleni, itamaliza jamii hiyo ya wabajuni. Usawa uendeshwe kulingana na percentage ili tusiwache jamii yoyote nyuma. Huu mwelekeo wa kila mtu kujitetea kivyake utamaliza wengine. Tuangalie ukenya kwa jumla."
}