GET /api/v0.1/hansard/entries/1553817/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1553817,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1553817/?format=api",
"text_counter": 395,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Nakushukuru, Mhe. Spika wa Muda, kwa sababu majibu kutoka kwa Waziri ni mazuri na pia amenipatia information zaidi. Lakini, masikitiko ni kuwa shule zinamtegemea Mbunge kwa pesa za maintenance . Ndiyo maana nilileta suala hilo hapa. Dirisha ikiharibika, hairekebishwi mpaka hazina ya National Government"
}