GET /api/v0.1/hansard/entries/1553819/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1553819,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1553819/?format=api",
    "text_counter": 397,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "(NG-CDF) ifanye marekebisho au renovation. Huwezi kuendeleza mbele shule nyingi kwa kujenga madarasa na laboratories zinazohitajika. Shule kule Kizingitini, zina shida na mimi kama Mbunge ninalaumika kwa sababu shule hazina madirisha na upepo ni mwingi sana. Imekuwa sasa kitu kidogo kikiharibika lazima turudi kwa NG-CDF. Ninaiomba Wizara iangalie mambo hayo kwa sababu yanaturejesha nyuma sana. Waziri, pia wewe umeona kuwa eneo la Kizingitini limepata Ksh1.5 milioni kama"
}