GET /api/v0.1/hansard/entries/1553821/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1553821,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1553821/?format=api",
    "text_counter": 399,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "ilhali kuna shule zingine ambazo zimepata Ksh100 milioni. Jibu lako limeonyesha kuwa kuna udhaifu na sehemu zetu zinanyanyaswa, ilihali shule zetu ni maskini na haziwezi kufananishwa na shule za town . Weka mipangilio ya kuhakikisha kuwa shule zile zimepata The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}