GET /api/v0.1/hansard/entries/1553824/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1553824,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1553824/?format=api",
"text_counter": 402,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": ". Hiyo ni kweli kwa maana hawana walimu. Wanatumia pesa hizo kuwaandika walimu. Umeona taabu tulizonazo katika shule hizo. Natarajia kuwa ukija hapa wakati mwingine, useme kuwa umeligawia eneo la Kizingitini Ksh100 milioni kama vile shule ya Alliance na kwingineko."
}