GET /api/v0.1/hansard/entries/1554088/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1554088,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1554088/?format=api",
    "text_counter": 666,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. ZamZam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii ili nami niweze kuongeza sauti yangu katika nomination ya dada yetu Judith Pareno. Huyu ni mama ambaye ametoka katika jamii ambayo ni miongoni mwa wale waliofanyiwa unyanyapaa, yaani marginalised. Na ni mama ambaye amekuwa jasiri sana. Kutoka katika jamii kama hii na kisha akasoma, akawa lawyer, akaja wakati mmoja akawa"
}