GET /api/v0.1/hansard/entries/1554971/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1554971,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1554971/?format=api",
"text_counter": 435,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
"speaker": null,
"content": "Kwa sababu ya muda, naunga Hoja hii mkono. Nashukuru Mhe. Rais kwa kutupatia Makatibu, na kuhakikisha akina mama wamepata nafasi inayofaa. Tunakuomba pia wakati unatengeneza Baraza La Mawaziri ama unafanya mabadiliko yoyote, utumie mbinu hiyo hiyo na kuhakikisha kwamba kina mama wamepata nafasi sawia na kina baba. Kenya inataka uongozi wa kina mama na kina baba ndiposa tutafaulu. Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda."
}