GET /api/v0.1/hansard/entries/1555021/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1555021,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1555021/?format=api",
    "text_counter": 485,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kimani Kuria",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Naweza kuendeleza kutoka mahali Mhe. Zamzam aliachia. Nampongeza ndugu yangu Mhe. Rahim kwa kuleta mapendekezo haya ya kutumia teknolojia kwa matibabu ya ugonjwa wa saratani. Bunge lipo kuhakikisha kwamba sheria zetu zinaambatana na mabadiliko ambayo yanafanyika katika nchi yetu. Kwa hivyo, tunatarajia kuona mabadiliko mengi ya sheria yakiletwa Bungeni ili kuhakikisha teknolojia inatumika kueneza mambo ya nchi yetu ya Kenya. Nampongeza ndugu yangu na naunga huu Mswada mkono. Asante, Mhe. Spika wa Muda."
}